Thursday, January 3, 2013

Jengo jipya la ofisi ya Hazina Ndogo Dodoma, lililojengwa kwa muda wa miaka miwili toka Januari 2011 mpaka Desemba 2012 na mkandarasi Group Six International Ltd.